Tuesday, January 1, 2013

KIVUKO CHA MTO RUVU

 Abiri watatu wakivushwa katika Mto Ruvu katika Kijiji cha Kongo Kata ya Yombo Wilaya   ya Bagamoyo katika Mkoa wa Pwani, uvushaji kwa kutumia mitubwi ni hatari sana wiki moja iliyopita mkazi mmoja wa kijiji hicho ameuwawa na Kiboko akijaribu kuvuka kwenda Kijiji cha pili.

0 comments:

Post a Comment