Tuesday, January 1, 2013

MAJI YA KUNYWA KIJIJINI KIEGEI NACHINGWEA

Mkazi wa Kijiji cha Kiegei Kata ya Kiegei Wilaya ya Nachingwea katika Mkoa wa Lindi, akichota maji kisimani kwa shida, wanawake watatu wamevunjika mguu kwa kutumbukia katika kisima hicho, pia wanawake hutembea kwa saa 2 hadi 3 kutafuta maji hali hiyo inachangia kudumaa kwa maendeleo kutokana na muda mwingi wanawake kutumia kutafuta maji ya matumizi ya kila siku nyumbani.

0 comments:

Post a Comment