Tuesday, January 1, 2013

TUPO DARASANI

Mwalimu  Selemani Kambona wa Shule ya msingi Kiegei Kata ya Kiegei Wilaya ya Nachingwea katika Mkoa wa Lindi, akiwafundisha wanafunzi wa darasa la sita chini ya mti, Shule hiyo yenye wanafunzi 608 inawalimu wa tatu mahitaji walimu 11, uhaba wa walimu umesababisha wanafunzi wa dalasa la nne  kufanya vibaya mwaka 2012, tatizo la uhaba wa walimu limekuwa changamoto kubwa katika shule za msingi mbalimbali nchini Tanzania.

0 comments:

Post a Comment