Baadhi ya wateja wakichagua urembo mbalimbali ambao umetengenezwa kwa kutumia vitu vya asili kama shanga, mawe ya miamba, mabaki ya madini ya vito pamoja na mti, urembo huo wa asili umekuwa kivutio kikubwa kwa wakazi wa hapa nchini na watali mbalimbali wanaoingia nchini Tanzania. Biashara ya kuuza urembo wa asili imekuwa msaada mkubwa kwa vijana wa Chalinze Mkoa wa Pwani kujipatia kipato na kuachana na utumiaji wa madawa ya kulevya na wizi.
UPELELEZI KUHUSU TARIMO NA WAMILIKI/MILIKI WA JENGO KARIAKOO
33 minutes ago
0 comments:
Post a Comment