Sunday, January 6, 2013

WATOTO WAKISWAGA PUNDA SONGEA

Baadhi ya watoto niliowaona katika barabara ya kuelekea katika Hospitali ya Peremiho Wilaya ya Songea Mkoa wa Ruvuma, wakiswaga Punde aliyeunganishwa na kitoroli kilichobeba kuni, kazi ya kusomba kuni kwa kutumia Punda wamepewa na mkazi  mmoja wa eneo la Peramiho kwa siku wanalipwa Tsh.2000 kwa kazi ya kukata kuni porini na kuzipeleka kwa mkazi huyo ambaye anaziuza kwa wakazi wa Peramiho.

0 comments:

Post a Comment