Sunday, January 6, 2013

MTOTO AKIUZA NANASI JARIBU RUFIJI

Mtoto huyu niliyemuona kijiji cha Jaribu Wilaya ya Rufiji katika Mkoa wa Pwani, akiuza Nanasi sehemu ambayo mabasi mbalimbali ya kwenda Mikoa ya kusini mwa Tanzania Lindi na Mtwara yanasimama kwa abiria kujisaidia au (kuchimba dawa), Nanasi moja anauza Tsh. 1000.

0 comments:

Post a Comment