Saturday, January 5, 2013

WATOTO IFINGA SONGEA

Baadhi ya watoto niliokutananao katika kijiji cha Ifinga Kata ya Matumbi Wilaya ya Songea Mkoa wa Ruvuma. Watoto wa kiume katika kijiji cha ifinga, wamekuwa msaada mkubwa wa kumpokea mama kulea mtoto wakati mama akiwa na shughuli za kuandaa chakula cha mchana na jioni nyumbani.

0 comments:

Post a Comment