Monday, December 31, 2012

Ubunifu kwa Vijana Nachingwea


Ubunifu kwa Vijana Nachingwea
Juma Athumani akiendesha Baiskel ilifungwa kwenye kigogo ili kupata speed ya kusukuma mashine ya kukereza, John Molise akikereza mguu wa kitanda, kwa siku anakereza seti mbili kila seti ni sh. 10,000. ubunifu huo vijana hawa wameupata kutokana na kijiji cha Mbondo Kata ya Mbondo Wilaya ya Nachingwea Mkoa wa Lindi kukosa umeme toka kijiji kimeanzishwa.

0 comments:

Post a Comment