Tuesday, January 1, 2013

MAMA NA MWANA DODOMA

Vailet Nyamanga (41) akiwa na Mtoto wake Rose Nyamanga (9) anaishi eneo la Mkuhungu Wilaya ya Dodoma Mjini katika Mkoa wa Dodoma. Rose ni mwanafunzi wa darasa la pili katika shule msingi Mkuhugu, Vailet ni mremavu wa viungo lakini pia anaurefu wa futi mbili, Anaishi kwa kutegemea kuombaomba mjini kwa siku anapata sh. 2000 hadi sh. 4000.Rose ndio msaada mkubwa sana kwake kumsafisha akijisaidia, anamlisha, anamkogesha na kumvarisha nguo ameanza kumsaidia mama yake akiwa na miaka mitano. Ana watoto wawili mwengine anaitwa Cristopher Nyamanga (19) watoto wote amejifungua kwa kufanyiwa upasuaji katika Hospitali ya Mkoa wa Dodoma, lakini Wanaume waliomshibisha mimba wanamkimbia.

0 comments:

Post a Comment