Wednesday, January 2, 2013

BABU ANAUZA MWIKO WA KUPIKIA CHALINZE

Baadhi ya wateja wakichagua mwiko ya kupikia chakula mbalimbali, mwiko hizo ziko za  aina tatu wa kupikia wali, ugali na mboga katika eneo la chalinze Mkoa wa Pwani, bei ya mwiko mmoja ni Tsh. 1000 wa kupikia mboga wa kupikia ugali na wali Tsh. 2000, mwiko hizo anachonga mwenyewe mzee Athumani kwa kutumia mti wa mpingo kwa hizo mwiko zenye rangi nyeusi na hizo mwiko zingine amechonga kwa kutumia mti wa mkongo, biashara ya kuchonga mwiko na kibao cha kukunia nazi anaifanya zaidi miaka 20 inamsaidia kupata kipato na familia yake.

0 comments:

Post a Comment