Sunday, January 6, 2013

WATOTO WAKIWA SHULENI IKWIRIRI RUFIJI

Baadhi wa watoto wa Shule ya Msingi Ukombozi katika Kijiji cha Ikwiriri Wilaya ya Rufiji Mkoa wa Pwani wakiwa nje ya darasa kwa mapunziko ya kujipatia chai majira ya saa 10:15 asubuhi.

0 comments:

Post a Comment