Sunday, January 6, 2013

UTUMIKISHAJI WA WATOTO MIKOA MBALIMBALI YA TANZANIA

Peter Mwita (14) anayeishi katika kijiji cha Tinde Wilaya ya Shinyanga Vijijini katika Mkoa wa Shinyanga, anafanyabiashara ya kuuza karanga na pipi katika mabasi mbalimbali yanayopita yakitokea Mwanza, msingi wa biashara yake ni Tsh.7000 kwa siku anapata Tsh. 3000. Peter ameacha shule kwa kufanya biashara ambayo haina manufaa makubwa kwake.

0 comments:

Post a Comment