Tuesday, January 1, 2013

WANAWAKE WA KILWA WAKIUZA SAMAKI NANGURUKURU

Baadhi ya Wanawake wa Wilaya ya Kilwa katika Mkoa wa Lindi, wakiuza samaki eneo la Nangurukuru samaki mmoja anauza kuanzia Tsh. 500 hadi Tsh. 5000, biashara ya samaki kwa wanawake wa kilwa imekuwa ikiwapatia kipato katika familia zao na kusaidia kusomesha watoto wao.

0 comments:

Post a Comment