Thursday, January 3, 2013

MAMA NA KACHANGA CHAKE SONGEA

Anna Ndunguru akiwa na kichanga chake siku mbili baada ya kujifungua katika zahanati ya Maposeni katika Kijiji cha Maposeni Wilaya ya Songea Mkoani Ruvuma. Kila mwaka wanawake wajazito 95 kati ya vizazi hai 100,000 wanapoteza maisha Mkoa wa Ruvuma wakati wa kujifungua kwa matatizo mbalimbali ya uzazi, sababu kubwa ni  uhaba wa vifaa na wataalamu wa kumsaidia mama mjamzito wakati wa kujifungua.

0 comments:

Post a Comment