Shirika lisiro la kiserikali linalotetea uhai wa mama na mtoto Afrika (Evidence for Action) wameendesha uchangiaji wa damu kutoka kwa wananchi mbalimbali wa Mjini Arusha, damu ambayo itasaidia akinamama mbalimbali wanaopata tatizo la kupungukiwa na damu wakati wa kujifungua na baada ya kujifungua. Asilimia 46 ya wajawazito Tanzania wanapoteza maisha kwa kukosa damu wakati wa kujifungua.
UPELELEZI KUHUSU TARIMO NA WAMILIKI/MILIKI WA JENGO KARIAKOO
51 minutes ago
0 comments:
Post a Comment