Tuesday, March 5, 2013

KIKWETE UNALIONA HILI!

Dk. Abahehe Kanora mganga mkuu wa kituo cha afya cha Ikizu katika wilaya ya Bunda mkoa wa Mara, akionesha Bajaji ya Kikwete ikiwa imetolewa kitanda cha kubeba mjamzito, kutokana na kushindwa kukitumia kwa ubovu wa barabara.

Wilaya ya Bunda ina kata 28 kati ya hizo kata 4 tu ndio zina vituo vya afya kama Ikizu, Manyamanya na Kasuguti vituo hivyo vina Bajaji ya Kikwete lakini hazitumiki kwa ubovu wa barabara, baada ya kutoa kitanda hicho wanatumia pikipiki kwenda kuchukua dawa wilayani.

0 comments:

Post a Comment