KIVUKO CHA MTO RUVU
Abiri watatu wakivushwa katika Mto Ruvu katika Kijiji cha Kongo Kata ya
Yombo Wilaya ya Bagamoyo katika Mkoa wa Pwani, uvushaji kwa kutumia
mitubwi ni hatari sana wiki moja iliyopita mkazi mmoja wa kijiji hicho
ameuwawa na Kiboko akijaribu kuvuka kwenda Kijiji cha pili.
No comments:
Post a Comment