Abiri watatu wakivushwa katika Mto Ruvu katika Kijiji cha Kongo Kata ya Yombo Wilaya ya Bagamoyo katika Mkoa wa Pwani, uvushaji kwa kutumia mitubwi ni hatari sana wiki moja iliyopita mkazi mmoja wa kijiji hicho ameuwawa na Kiboko akijaribu kuvuka kwenda Kijiji cha pili.
Tuesday, January 1, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment