Mama

Nani kama Mama .

Afya ya Mimba

Mwanamke anayetaka kubeba mimba anashauriwa aache kunywa pombe na kuvuta sigara.

Mama na Mtoto

Mazingira mazuri ya Afya ni Moja ya njia ya kuepuka matatizo ya mama wakati wa kujifungua.

Tuwalinde watoto

watoto 200 kati ya 100,000 wanapoteza maisha wakati wa kuzaliwa na baada ya kuzaliwa, idadi hii ya vifo ni kubwa sana hapa nchini Tanzania.

Karibu kwenye blog hii kwa Habari za Afya ya Mama na Mtoto.

Kufikia mwaka 2010, takwimu zilikuwa zinaonesha kwamba kila wanawake 454 katika vizazi hai 100,000 walikuwa wanapoteza maisha wakati wa ujauzito au kujifungua kwa matatizo mbalimbali ya uzazi.

watoto 200 kati ya 100,000 wanapoteza maisha wakati wa kuzaliwa na baada ya kuzaliwa, idadi hii ya vifo ni kubwa sana hapa nchini Tanzania..

Sunday, April 21, 2013

ZAITUNI: UMASIKINI UMESABABISHA NIMUAMBUKIZE MWANANGU UKIMWI

Ukimsikiliza Zaituni Ally (35) anayeishi na virusi vya ukimwi (VVU) kwa miaka saba sasa, machozi yanaweza kukutiririka mashavuni.“Nakula mlo mmoja kwa siku siku nyingine nalala na njaa,”alisema Zaituni. Siyo hivyo tu. Zaituni ana watoto watatu wenye umri wa  miaka 9, 5 na miezi mitatu. Alimzaa mtoto wake wa kwanza, ambaye hivi sasa yuko Mtwara kwa dada yake, akiwa hana maambukizi lakini alijifungua mtoto wa pili na watatu akiwa ameshagunduliwa...

Friday, April 19, 2013

NGONO ZEMBE YA WANAFUNZI KIJIJINI KIEGEI KWA BEI YA 500

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...

Wednesday, April 17, 2013

NAPENDA KUSOMA

Watoto Diana Joseph (2) Tarik Faraji (2), wakijifundisha kusoma katika karasi lililoandikwa pamoja na kuchorwa katuni mbalimbali. Watoto hawa waliokuwa wanajifundisha kusoma baada ya kumaliza kupima uzito na kupatiwa dawa ya minyoo katika kituo cha kupima watoto kwa mwezi mara moja kupitia gari maalumu la Bank ya NBC.  Kituo hicho kipo Goba Umoja Manispaa ya Kinondoni mkoa wa Dar es Salaam. Sababu kubwa ya kuwa na vitu hivi ni kutokana...

Tuesday, April 16, 2013

WAJAWAZITO NA WATOTO MSAKUZI KINONDONI BADO WANAPIMWA CHINI YA MTI MKAMVU

Kutoka katika mti mkavu huo, ambao unatumika kupima watoto wa chini ya miaka mitano na wajawazito kwa miaka miwili, katika eneo la Msakuzi mtaa wa Ruguruni katika kata ya Kwembe wilaya ya Kinondoni. Mpaka kuingia katika jengo ndogo la kliniki lililojengwa kwa ufadhili wa mfuko wa Jimbo la Ubungo.  Akinamama wakiwa na watoto wao walikuwa wakinyeshewa mvua na kuchomwa na jua kali. Adha hiyo inawapata kwa kufuata huduma ya vipimo mbalimbali,...

Monday, April 15, 2013

SAKATA LA ARVs BANDIA, SERIKALI ITOE TAARIFA SAHIHI KULINDA AFYA ZA WATUMIAJI

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...