Wakulima wa Korosho katika Mikoa ya Lindi na Mtwara wako katika hali mbaya ya kipato, baada ya korosho walizokopesha katika stakabadhi ghalani kuanzia mwezi Octobar mwaka jana hawajalipwa mpaka sasa.
"Bakari kichwa na majani ya mhogo au kisavu ndio mboga tunayokula kila siku kwa kutokana na ukata wa kukosa pesa niliyokopesha korosho toka mwaka jana, fungu la Bakari kichwa linauzwa Tshs. 1000 na Bakari kichwa mmoja anauzwa...